Uinjilisti Wa Kibiblia Na Uanafunzi
Maelezo ya kozi
Kozi hii inatoa kanuni za kibiblia ambazo huongoza mbinu za uinjilisti. Inaelezea aina za uinjilisti na kutoa masomo ya kutumia kufundisha wapya waliobadilishwa.
Malengo ya kozi
(1) Kufafanua maana ya injili kwa ajili ya taswira na muundo wa kanisa.
(2) Kufanya tafakuri ya imani za msingi za injili.
(3) Kuwafundisha waumini njia za vitendo zinazohusiana na uinjilisti.
(4) Kufahamu wajibu wa kanisa katika ufuasi.
(5) Kufafanua maana na kuelezea kazi ya ufuasi.
(6) Kujifunza njia kwa vitendo kuongoza kikundi kidogo kwa ajili ya ufuasi.
(7) Kutoa mfululizo wa masomo mbalimbali kwa ajili ya kutumika kwenye ufuasi wa waumini wapya.
Mada za somo
Kukubaliana na Agizo Kuu la Yesu
Theolojia ya Kuzaliwa mara ya Pili
Dharura ya Uinjilisti
Vipengele Muhimu vya Injili
Dhana ya kiuinjilisti (Evangelicalism) na Kipaumbele cha Injili
Kazi ya Roho Mtakatifu
Maombi na Kufunga
Mbinu za Yesu
Uwasilishaji wa injili “Daraja”
Barabara ya Kirumi
Kuhubiri Kiuinjilisti
Milango iliyofunguka
Uboreshaji Mbinu za Uinjilisti
Huduma kwa Watoto
Mpango wa Kanisa
Wafuasi wa Kweli
Kuelekea Kukua Kiroho
Kitabu cha Mwongozo kwa Kikundi Kidogo
Kuwaombea Wafuasi