Familia ya Kikristo

View this course in other languages:
Maelezo ya kozi
Kozi hii inatoa mtazamo wa Kikristo kuhusiana na maendeleo ya binadamu kupitia hatua mbalimbali za maisha na zinatumia kanuni za kimaandiko kwa ajili ya majukumu ya kifamilia na mahusiano.
Malengo ya kozi
Malengo yameorodheshwa mwanzoni mwa kila somo.
Mada za somo
Kuumbwa kwa ajili ya Mahusiano
Familia ya Kibiblia
Dhana ya Biblia kuhusu Ndoa
Masuala ya Kujamiiana
Useja
Maandalizi kwa ajili ya Ndoa
Kustawisha Ndoa iliyo Imara
Lugha Tano za Upendo – Sehemu ya 1
Lugha Tano za Upendo – Sehemu ya 2
Suala la Kutokuwa na Mtoto
Maendeleo na Utunzaji wa Mtoto
Kuwalea Watoto Kwa Makusudi
Mambo Yanayohusu Kulea Mtoto
Malezi wakati wa Ujana
Kijana Aliyekomaa