Mafundisho Na Mazoezi Ya Kanisa
Maelezo ya kozi
Kozi hii inaelezea ubunifu na mpango wa Mungu kwa kanisa na masomo ya kibiblia kama vile uanachama wa kanisa, ubatizo, ushirika, zaka, na uongozi wa kiroho.
Malengo ya kozi
1. Kuelewa utambuzi na maelezo ya Biblia kuhusiana na kanisa.
2. Kuuona mpango wa Mungu kwa ajili ya kanisa, na kazi ya Mungu ndani ya kanisa.
3. Kujifunza majukumu ya mwanachama na Kiongozi ndani ya kanisa.
4. Kuzitumia kanuni kwa ajili ya kutoa msaada, utawala, na uendelezaji wa Kanisa la mahali.
5. Kupatiwa nyenzo kwa yaliyomo na muundo wa kufundisha kuhusu kanisa.
Mada za somo
Mungu Mmoja na Kanisa Moja
Umoja wa Kikristo
Kanisa la Mahali
Mashirika ya Kanisa
Uanachama wa Kanisa
Kushirikishana Maisha Pamoja
Kanisa katika Dunia
Msaada wa Kanisa la Mahali
Zaka
Ubatizo
Meza ya Bwana
Nidhamu ya Kanisa
Tabia ya Kiongozi wa Kikristo
Karama za Kiroho
Maswali kuhusu ukomavu kwa Kanisa