Maisha Na Huduma Ya Yesu
View this course in other languages:
Maelezo ya kozi
Kozi hii inasoma maisha ya Yesu kama mfano kwa huduma na uongozi katika karne ya 21.
Malengo ya kozi
Malengo yameorodheshwa kwenye kila somo.
Mada za somo
Maandalizi ya Huduma
Kuomba kama Yesu
Kuongoza kama Yesu
Kufundisha kama Yesu
Kuhubiri kama Yesu
Kufundisha kama Yesu
Kuwa na Upendo kama Yesu
Msalaba na Kufufuka
Kuacha Urithi