Kitabu Cha Taasisi Za Wenyeji

查看本课程的其他语言版本:
Maelezo ya kozi
Kimsingi kitabu hiki ni mwongozo rejea wa wakufunzi, wasimamizi, na walimu wenyeji.
Malengo ya kozi
Hakuna malengo yanayojaribiwa.
Mada za somo
Umuhimu wa Mafunzo ya Huduma kwa Wenyeji
Utangulizi wa Shepherds Global Classroom
Sifa ya Mwalimu Mtarajiwa
Kuwaelewa Washiriki Wetu
Mbinu za Ufundishaji Mzuri
Jinsi ya Kufundisha Masomo ya SGC
Kugundua Walimu
Kuendesha Taasisi ya Wachungaji Wenyeji