Huduma Ya Uongozi

查看本课程的其他语言版本:

Maelezo ya kozi

Kozi hii inahimiza tabia ya Kikristo wakati inafundisha viongozi kuongoza mashirika kupitia mchakato wa kugundua maadili, kutambua kusudi, kushirikishana maono, kuweka malengo, kupanga mkakati, kuchukua hatua, na kupitia mafanikio.

Malengo ya kozi

1.    Kufafanua uongozi kama ushawishi wa binafsi.

2.    Kutambua Imani thabiti kama ndiyo msingi wa uongozi.

3.    Kujifunza sifa za kibiblia kwa ajili ya viongozi.

4.    Kuongoza kwa minajili ya wale wanaoongozwa.

5.    Kusimamia vipaumbele binafsi kwa ajili ya mafanikio.

6.    Kuwahamasisha watu katika kufikia kwenye malengo kamili.

7.    Kuandaa kuiendeleza na kuingoza timu.

8.    Kupanga maono, malengo, na mikakati ya shirika.

9.    Kuelewa mitazamo ya kitamaduni katika uongozi.

10.  Kutumia kanuni zinazohusiana na kuongea, muda, mambo ya fedha, na mavazi.

Mada za somo

Kufafanua Uongozi
Sifa za Kibiblia kwa ajili Viongozi
Umuhimu wa Uongozi
Kufanywa kuwa Kiongozi
Uongozi wa Utumishi
Uongozi Unaotegemezwa na Tabia
Vipaumbele Binafsi
Viwango vya Uongozi
Muunganiko na Miadi
Kujenga Timu
Huduma yenye Lengo
Kuongoza Mabadiliko
Kuwaendeleza Viongozi
Tamaduni Zinazoingiliana
Majibu ya Utendaji
Kunena katika Hadhira
Mambo ya Binafsi: Fedha, Muda, na Mavazi.

更多类似课程

返回所有 Kiswahili 课程

One-time signup

This information helps us better serve the global church.

报错: 未找到这个表单

By submitting your contact info, you agree to receive occasional email updates about this ministry.