Kanuni Za Kikristo
View this course in other languages:
Maelezo ya kozi
Hii ni kozi ya theolojia ya kimfumo, inayoelezea mafundisho ya Kikristo kuhusu Biblia, Mungu, Mwanadamu, Kristo, Wokovu, Roho Mtakatifu, Kanisa, na Vitu vya Mwisho.
Malengo ya kozi
(1) Kujifunza kanuni za msingi za imani ya Kikristo.
(2) Kutumia Biblia ipasavyo kama chanzo na mamlaka ya kanuni.
(3) Kutambua makosa makuu katika kanuni.
(4) Kupata ufahamu unaosaidia kuimarisha uhusiano wetu na Mungu.
(5) Kupokea maudhui na muundo wa kufundisha wengine.
Mada za somo
Kitabu cha Mungu
Sifa za Mungu
Utatu wa Mungu
Ubinadamu
Dhambi
Roho
Kristo
Wokovu
Masuala ya Wokovu
Roho Mtakatifu
Utakatifu wa Kikristo
Kanisa
Hatima ya Milele
Matukio ya Mwisho
Kanuni za Imani za Kale