Mafundisho na mazoezi ya maisha Matakatifu

View this course in other languages:

Maelezo ya kozi

Kozi hii inatoa maelezo ya kibiblia ya maisha matakatifu ambayo Mungu anatarajia na uwezesho kwa Mkristo. 

Malengo ya kozi

Objectives are listed at the beginning of every lesson.

Mada za somo

Uzuri wa Utakatifu
Utakatifu ni Mahusiano – “Kutembea na Mungu”
Utakatifu ni Sura ya Mungu ndani ya Mtu
Utakatifu ni Kutengwa
Utakatifu ni Moyo Usiogawanyika – “Kuwa Mkamilifu”
Utakatifu ni Haki na Uadilifu
Utakatifu ni Kumpenda Mungu
Utakatifu ni Kumpenda Jirani Yako
Maisha Matakatifu ni katika Ukamilifu Wa Roho
Utakatifu ni Kumfanania Kristo
Utakatifu ni Ushirika usiovunjika na Mungu
Je, Maisha Matakatifu Yanawezekana?

More Courses Like This

Back to All Kiswahili Courses