Utangulizi wa ibada ya Kikristo

View this course in other languages:
Maelezo ya kozi
Kozi hii inaelezea jinsi gani kuabudu huathiri nyanja zote za maisha ya muumini na hutoa kanuni ambazo humuongoza mtu binafsi na mkutano wote mazoezi ya kuabudu.
Malengo ya kozi
Malengo yameorodheshwa mwanzoni mwa kila somo.
Mada za somo
Kuelezea maana ya Ibada
Mungu na Muabuduji
Kuabudu katika Agano la Kale
Ibada katika Agano Jipya
Ibada Katika Historia Ya Kanisa
Muziki katika Ibada
Maandiko na Maombi katika Ibada
Kupanga na Kuongoza Ibada
Maswali Mengine
Mtindo wa Maisha wa Kuabudu