Warumi
Maelezo ya kozi
Kozi hii inafundisha theolojia ya wokovu na dhamira kama inavyoelezewa katika vitabu ya Warumi, kujadili masuala kadhaa ambayo yamekuwa ya kutatanisha katika kanisa.
Malengo ya kozi
1. Kuona utoaji wa Mungu wa wokovu na hitaji lake la imani.
2. Kujadili kuhusu masuala ya kimisheni kuhusiana na watu ambao bado hawajawahi kuisikia injili.
3. Kuelewa ushindi dhidi ya dhambi ambalo ni jambo linalowezekana na la kawaida kwa mtu aliyeamini.
4. Kujifunza kuhusu uhusiano kati ya Israeli na na kanisa kwenye mpango wa Mungu.
5. Kuelewa muktadha wa taarifa ambazo zimekuwa ndio msingi wa ubishani au mashindano ya kiimani katika kanisa.
6. Kupata shauku kwa ajili ya umisheni wa kanisa wa kufanya uinjilisti duniani pote.
Mada za somo
Utangulizi wa Barua
Kosa la Wamataifa
Kosa la Waisraeli
Hali ya Ulimwengu Wote
Njia na Maana ya Kuhesabiwa Haki
Ushindi dhidi ya Dhambi
Mtenda Dhambi Mwenye Hatia
Maisha katika Roho
Uteuzi wa Mungu
Ujumbe wa Haraka
Huduma na Mahusiano
Maono kwa Ajili ya Umisheni